Habari nzuri hii nakuletea mfuatiliaji wangu mzuri wa mada mbalimbali zinazohusiana na afya zetu na hii nimekuletea mada yenye video ambayo itakuwezesha kujua na kujifinza jinsi ya kutengeneza dawa mbadala kwa ajili ya kuondoa madoti doti meusi ambayo yamekuwa ni kilio kikubwa kwa madada zetu na hata pia kwa makakakwa ujumla sasa fungua video hapo chini ili ujifunze njia hii rahisi na mbadala.