Pages

Thursday, May 24, 2018

DAWA YA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI


HABARI ,hapa nimekuandalia mada ambayo itakusaidia ama kuwasaidia wanawake wengi katika kutatua tatizo lako la kutokufika kileleni kwa kufuatilia video hii hapo chini na mwanzo mwisho na kujua nn cha kufanya ili uweze kutatua na hatimaye uweze kulifaidi zaidi tendo la ndoa.

Sunday, May 20, 2018

DAWA YA KUONDOA HARUFU MBAYA MAKWAPANI NK


Karinu tena katika vipindi vyangu mbali mbali vya afya na hapa nitazungumzia jinsi ya utengenezaji wa dawa ya kutoa kiarufu kikali na jasho la kupitiliza ,fungua video hapo chini ujifunze mwenyewe.

SABABU ZA MWANAMKE KUTOKUFIKA KILELENI



Habari mpendwa wangu mfuatiliaji wa mada mbali mbali za channel ya Bongo Event tv ,na leo nimekuandalia mada ambayo itakusaidia kujua visababishi ambayo vitakufanya na pia hata kukupelekea kutokukufikisha kileleni, Fungua hiyo video hapo ili ikupe muongozo mzuri.

Tuesday, May 1, 2018

MANENO YA ZITTO KABWE KUHUSU KUTOPANDISHWA MISHAHARA TANZANIA


Maneno haya ambayo Mh Zitto Kabwe yamekuja na kuleta taswira mpya baada  ya aliyekuwa raisi wa awamu ya tano Dkt John Magfuli baada ya kutoa kauli ambayo iliyokuwa inahusu kuongeza kwa mishahara kwa wafanyakazi wa serikali na kuleta taswira mpya kiujumla,fungua video hapo chin

MANENO MAZITO YALIYOMFANYA MAGUFULI ACHUKUWE HATUA HIZI


Haya ndio maneno makuu ambayo na mazito ambayo yamemfanya Raisi wetu wa awamu ya tano Dkt John pombe Magufuli kufanya jambo hili ambalo limewashangaza na kuwastaajabisha mamia ya watu katika siku hii, Je watakakujua ni jambo gani hilo lililofanyika FUNGUA hiyo video hapo chini.