Friday, February 16, 2018
DAWA YA KUNGARISHA USO [ACHANA NA CARORITE]
DAIMOND KAFUNGUKA KHUSU KUACHWA KWAKE NA ZARI
Finaly kwa ukimya mwingi wa daimond platinum finaly kafunguka lililoko rohoni baada ya kuachwa na zari the boss lady,fungua hapo chini ujionee daimond alichofunguka.
HUWEZI KUAMINI KILICHO TOKEA
Katika maisha yetu ya kila siku huwa ni vigumu kuamini jambo la kuambiwa ila mpaka ushuhudie mwenyewe na katika video hiyo hapo chinoi utaona vitu ama maajabu ambayo yanafanywa na wanadamu na sio rahisi kufanywa na mtu mwingine.
MAGUFULI AMEMUAPISHA DKT SLAA KUWA BALOZI WA SWEDEN
Hivi leo raisi wa awamu ya tano Dkt john magufuli amemuapisha Dkt slaa kuwa balozi wa sweden.fungua hapo chini ujionee jinsi alivyokuwa anakula kiapo na kuapishwa.
TUSI LA DAIMOND KWA RAYVAN KUHUSU MAPENZI YAKE NA ZARI
Baada ya skendo hii inayotredi mtandaoni ambayo inawahusu wapenzi wawili ambao ni mastaa wakubwa ambao ni daimond na zari kuachana na kuacha watu wengi kutaamaki na kujiuliza tatizo ni nn ,ila sio kila mtu amependezwa na jambo hili na hata kupelekea rayvan kutaka kurudisha wapenzi hawa kurudiana na kuwa pamoja ila hili ndilo jibu kali alilolitoa daimond kwa rayvan ,fungua tu hapo chini na utaujua kilichotokea ni nn?
KAMPENI ZA CCM ZIKIMALIZIKA HAPA KINONDONI
Leo ndio siku ya mwisho ya kufanya kampeni ambapo kwa chama cha mapinduzi CCM yamemalizika rasmi katika maeneo ya kinondoni biafra kwa mgombea kujinadi katika chama chake ambaye ni bwana Mtulila.
Wednesday, February 14, 2018
ZARI ACHANA NA DAIMOND PLATINUM RASMI
HII ni baada ya uvumi mwili na skendo myingi katika midea ambazo zimekuwa kila siku zikimzungumzia daimond platinum na mambo mbali mbali ambayo anakuwa anashutumiwa na hata mengineyo ambayo anayo anayanya yamempelekea zari the boss lady kutoa matamshi haya mazito.
HUYU NDIYE ALIYEMPA MSAADA LISSU BAADA TU YA KUPIGWA RISASI TOKA SERIKALINI
Siri yafichuka ambayo imeshangaza watu wengi juu ya aliyetoa msada wa kwanza pindi tu mbunge wa wetu Tundu Lissu na kuokoa maisha yake kabla hajafikishwa hospitalini kwa ajili ya matibabu zaidi sasa fungua hapo chini kumjua nani huyo toka katika serikali yetu hii ambaye amempa msaada.
Tuesday, February 13, 2018
DAWA YA KUONDOA NYWELE ,MAPERE NA WEUSI KATIKA SEHEMU ZA SIRI
Fungua ujionee na kujifunza ni jinsi gani ya kutengeneza dawa hii ili uweze kupata nafuu kwa tatizo .
MWAKA HUU NAPATA MTOTO ;; DIVA THE BOSS
Fungua ujionee na kusikia alichokiongea diva the boss kuhusu swala la kheri la kupata mtoto.
NIMEKUBALI KULEA MTOTO WA MOBETO '' DAIMOND PLUTINUM''
Baada ya kupanda kizimbani kwa mara mbili ,mwishowe kumewafanya mabadiliko na kuwafanya wawili hao kukaa chini na kuwa kitu kimoja na kuamua kuchukua uwamuzi ambao umawafanya kufika tamati katika kesi yao ambayo ilikuwa ikirindima mahakani ,fungua hapo chini ujionee na kusikia maneno ya daimond plutinu m kukubali uwamuzi na kufanya jambo la busara zaidi fungua
DAWA YA KUKUZA NA KUKAZA MATITI KWA WANAWAKE
Hapa tumekuandalia dawa ambayo itawasaidia akina mama na hata akina dada walio wengi kutokana na kilo kikubwa ambacho ni kuwa matiti kushuka na mwishowe kuwafanya akina mama na akina dada walio wengi kuanza tabia ya kubusti matiti yao kutokana na kupoteza maumbile yao ya awali ya matiti ,lakini siku zote linalokuwa na mwanzo halikosi kuwa na mwisho sasa fungua video hapo chini na ufuatilie kwa makini na itakusaidia kuokoa na hata kurudisha maumbile yako mazuri ya matiti.
ADHABU KALI ALIYOPEWA JUMA NYOSSO NA TFF
Fungua na ujionee adhabu ambayo amepewa JUMA NYOSSO kutokana na adhabu ambayo alipewa na shirika la mpira wa miguu TFF pamoja na mengineyo mengi ambayo utayajua baada ya kufungua video hapo juu
Saturday, February 10, 2018
HIVI NDILO TIMBWILI LA NYANI KAMA HUJAWAHI KULIONA
DAWA YA ASILI YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME
HAPA NDIPO WANAWAKE WANAPOPATA UKIMWI
Subscribe to:
Comments (Atom)