Pages

Tuesday, February 13, 2018

NIMEKUBALI KULEA MTOTO WA MOBETO '' DAIMOND PLUTINUM''


Baada ya kupanda kizimbani kwa mara mbili ,mwishowe kumewafanya mabadiliko na kuwafanya wawili hao kukaa chini na kuwa kitu kimoja na kuamua kuchukua uwamuzi ambao umawafanya kufika tamati katika kesi yao ambayo ilikuwa ikirindima mahakani ,fungua hapo chini ujionee na kusikia maneno ya daimond plutinu m kukubali uwamuzi na kufanya jambo la busara zaidi fungua         

No comments:

Post a Comment