Pages

Friday, February 16, 2018

KAMPENI ZA CCM ZIKIMALIZIKA HAPA KINONDONI


Leo ndio siku ya mwisho ya kufanya kampeni ambapo kwa chama cha mapinduzi CCM yamemalizika rasmi katika maeneo ya kinondoni biafra kwa mgombea kujinadi katika chama chake ambaye ni bwana Mtulila.
                                            

No comments:

Post a Comment