Monday, January 29, 2018
FAIDA ZA BAMIA KATIKA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME
JAJI KISANGA AKIAGWA KATIKA KANISA LA KKKT
DIVA AKIRI KUWA ANATUMIKA KIMAPENZI
AJAJI YA MELI KUWAI TOKEA
POVU LA DKT SLAA BAADA YA KUTOKA IKULU
WEMA AMUITA MPENZI WAKE ON STAGE ''DAIMOPND PLATINUM
Thursday, January 25, 2018
HATUNA TUNACHOJUTIA ''' MKURUGENZI WA TBA'''
MWANAMKE ALIYEKUFA GESTI HUKO MOROGORO
MAZISHI YA MAMA YETU WA KIROHO '''MAMA YAKE GWAJIMA''
Kila mwanadamu katika dunia hii safari yetu ya mwisho ni kwemda huko juu mbinguni na leo hii tumekumbwa na pigo kubwa la kumuaga kwa safari yake ya kwenda mbinguni mama yetu wa kiroho ''MAMA YAKE GWAJIMA '' Fungua hapo chini.
PENZI LA UJAMBAZI
Wednesday, January 24, 2018
NYIMBO MPYA NGUZA VIKI NA SEYA
kwa takribani miaka mingi ambayo hatuwa nao wagwiji hawa wa muziki huu wa wazee wa watuazima Nguza viki naseya sasa wako mbioni kwa kuachia ngoma yao mpya ,fungua hapo kujua kwa undani zaidi juu ya kibao hicho kikali.
VYAKULA VINAVYOSABABISHA VIDONDA VYA TUMBO
Fungua video hapo chini ili kujua ni vyakula gani hapo chini vilivyoelezewa ili kuviepuka kwakuwa unaweza kukuta unatumia dawa kila wakati na kila aina tofauti yya dawa na bila maendeleo yoyote ile sas fungua iliupate maelekezo zaidi.
Tuesday, January 23, 2018
DAWA YA WADUDU MASHAMBANI
ANGALIA na jifunze njia mpya au dawa mpya ambayo itakusaidia katika kulinda mazao yako mashambani.
HAIJAWAHI KUTOKEA MAAJABU AYA MTOTOT HUYU
Angalia video hii hapo chini ujionee ni jinsi gani binadamu katika dunia hii tunavyoumba na maajabu tangia utotoni.
VYANDARUA NA NGUVU ZA KIUME
Angalia video hii kuondoa imani potofu kuw aeti vyandarua vinamaliza nguvu za kiume.
MH MWAKYEMBE AKISIFIA SIMBA MBELE YA UMMA KWA USHINDI MNONO
VYAKULA VINAVYOPUNGUZA NGUVU ZA KIUME
Angalia full video upate elimu itakayo kuwezesha kupata elimu ni juu ya vyakula gani na ni kwa nn hususani ni vyakula hivi ndo viwe kisababushi kikuu cha kukupunguzia nguvu za kiume.
Sunday, January 14, 2018
WANAUME KUFANYA MAPENZI ASUIBUHI
Angalia full video na utambue sababu za kitaalamu ni kwa nini wanaume tunapendelea hususani kwa wakati wa asubuhi kufanya tendo la ndoa.
ZOEZI LA KUONGEZA NGUVU ZA KIUMME
Angalia full video jinsi ya kujifunga ni jinsi gani utaweza kuongeza nguvu zako za kiume.
Thursday, January 11, 2018
TATIZO SUGU LA KUTOA HARUFU MBAYA UKENI
Tambua sababu na tatua zaidi tatizo lako sugu la kutokwa harufu mbaya ukeni kwa kufungua kufungua hiyo video hapo chini
TUNACHOKIPENDA KUTOKA KWA WANAWAKE
Wanaume tunapenda wanawake na sio bora wanawake hususani zaidi kwa usawa huu tulio nao mgumu na kutokana na hivyo nikaamua kuwaandalia video hii ili tupeane uhalisisa wa nn wanaume tunahitaji mostly, fungua video hapo chini
Tuesday, January 9, 2018
MWONGEZE NYEGE MWANAMKE KWA HARAKA
HABARI ,hii hapa leo ni mada ya mapenzi ambayo ni mahususani zaidi kwa wanandoa na wapendanao aambayo itawafanya mlidumishe kwa maradufu tendo la ndoa ,nisiwamalizie uhondo bali fungueni wenyewe mjifunze ni vitu gani vya kumfanya mwanamke apagawe na tendo la ndoa.
WANAWAKE WANATAKA HIVI VITU KUTOKA KWA WANAUME
Wanawake ni binadamu ambao niwametoka katika ubavu wetu wa kushoto kama maandiko yalivyoandika kwa imani yetu sisi wakristu ila sitakii tuingie sanaa kwenye mambo ya imani ila dhumuni langu kusema hivi ni kwa ,wanawake ni viumbe ni vigumu sana kuwatambua ufahamu wake kirahisi rahisi kuliko sisi wanaume na kwanini nasema hivi ni kulingana na mada yetu ya leo ,wanawake ni viumbe ambao huwa wanapenda kufanyiwa vitu vizuri pasipo wao kukuambia wewe mwanaume sasa najua unakiu na mwamko mkubwa wa kutaka kujua ni vitu gani hivyo mwanamke anapenda kufannyiwa FUNGUA video hapo chini.
Monday, January 8, 2018
KILIO KWA WASANII WETU
Inanishangaza sana kwa wasanii wetu wa kizazi hiki kwa kuwa nyimbo nyingi zimekuwa na mahudhui ambayo hayapo katika tamaduni zetu na kinachonishangaza zaidi ni kwamba hatua zikichukuliwa wanaanza kuona kama wanaonewa ila sina mengi ya kusema labda ujionee mwenyewe ni nini ambacho nakiongelea kwa kufungua video hapo chini
Sunday, January 7, 2018
WASANII WETU TANZANIA NA MIZIKI YETU
Wasalamu sana ,leo ni ujumbe ambao umekuwa ni kilio kikubwa kwa watanzania nikimaanisha wazee vijana na hata waototo, hata kama sawa ni usawa wa utandawazi ila kila kitu ambacho unakifanya katika maisha haya jua kabisa kuna watu kumi kenda wanakufata kila nyayo na kwa kila mwongozo wowote ule wa wewe msanii ,kwanini nimeandika mada hii dhumuni langu kuu ni kuuambia wanamziki kujaribu kuimba nyimbo ambazo zinamantiki na maudhuhi ambayo hata miaka ijayo takumbukwa kwa mashairi yake mazuri na ambayo inaweza kuwa ni fundisho katika jamii au ni mwongozo katika jamii ila sijaegemea upande wowote ule ,nikimaanisha sio kwa wasafi ,weusi wabaya ,wazuri au wowote wale ila nachopenda kusema ni kwamba nyimbo za kizazi hiki zije kukumbukwa na hata kueshimika kwa miaka 20 au 30 ijayo ila sio kwa nyimbo kama hizi ,fungua video hapo chini ili japo muelewe namaanisha nn.......
ONGEZA UUME NA NGUVU KWA KUTUMIA NDIZI MBIVU
Habari, kwa kawaida kila chakula kina faida na umuhimu mkubwa katika mwili wa binadamu na hata vingine vikitumiwa kwa mara nyingi zaidi katika mzunguko wa binadamu kwa siku nzima unaweza ukamplelekea kupata mabadiliko ambayo yanaweza kumletea manufaa makubwa ,na leo chakula chetu au naweza kukitaja kama ni kiungio vile vile ni ndizi ,Ndizi ina nishati au madini mengi ambayo ni muhimu katika mwili wa binadamu katika ukuaji na uzalishaji wa nguvu na mjongeo katika ,mwili wa binadamu ,bila kupoteza wakati jifunze zaidi kupitia video ambayo nimeiwekja hapo chini ili ujue ni nishati gani zina hitajika na kwa manifaa gani katika ukuaji wa nguvu na hata maumbile yako ya kiume
ONGEZA NGUVU ZA KIUME KWA TANGAWIZI
Wasalam sana ,hapa tutazungumzia kwa ufupi jinsi gani tangawizi inavyoweza kukuongezea mabadiliko na mafanikio katika nguvu zako za kiume na pia kurudisha heshima katika ndoa yako ,pia nimeandaa maelezo amabayo jinsi ya kutumia kiungo hiki ila cha muhimu kabla hatuja kuelekeza ni jinsi gani ya kututmia ,nitoe jambo ambalo nila kuzingatia kabla ya kutumia kiungo hiki ni ,lazima uwe unafanya mazoezi ya viungo kila uamkapo ,nikimaanisha hakikisha unakimbia japo umbali wa mita200 mara 2 kila siku hii ni kwa sababu kamwe usipofanya mazoezi hutoweza kuupa mwili au kuuweka mwili wako katika kuondoa maradhi uliyonayo na kuupokea dawa kwa ajili ya kwenda kufanya kazi katika mwili .Bila kupoteza wakati fungua hiyo video hapo chini ili ujue ni jinsi gani ya kutumia tangawizi.
Friday, January 5, 2018
WARITHI WA WCB
kwa kawaida katika maisha yetu ya kila siku kuna misemo mingi ya
wahenga ila kwa msemo huu bila shaka umetimia katika macho kwa kuuona
ukitimia ''MTOTO WA NYOKA NI NYOKA''na hii imejirihirisha dhahiri baada
ya watoto wa zari kuperfom vilivyo kwa kuuimba wa daimond platinum bila
hata kuukosea hata nukta moja na kutuacha midomo wazi na kuutupa
matumaini na mwangaza kuwa WCB inaweza kuendelea milele kwa wasanii
chipukizi kuuendeleza mziki wetu juu zaidi ,bila shaka nisikumalizie
uhondo jionee kwa kubonyeza video hapo chini.
Monday, January 1, 2018
VIONJO VYA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME WAKATI WA MAPENZI
habari,hapa nimewaandalia video fupi ambayo itakufundishwa na kukuelezea ni vionjo gani ambavyo ukivitumia vinaweza kukusaidia kupata nguvu za kiume na hamasa ya kutosha wakati wa kufanya mapenzi na mwenzi wako.fungua video hapo chini
ELIMU YA UTOKAJI WA MIMBA
Subscribe to:
Comments (Atom)