kwa kawaida katika maisha yetu ya kila siku kuna misemo mingi ya
wahenga ila kwa msemo huu bila shaka umetimia katika macho kwa kuuona
ukitimia ''MTOTO WA NYOKA NI NYOKA''na hii imejirihirisha dhahiri baada
ya watoto wa zari kuperfom vilivyo kwa kuuimba wa daimond platinum bila
hata kuukosea hata nukta moja na kutuacha midomo wazi na kuutupa
matumaini na mwangaza kuwa WCB inaweza kuendelea milele kwa wasanii
chipukizi kuuendeleza mziki wetu juu zaidi ,bila shaka nisikumalizie
uhondo jionee kwa kubonyeza video hapo chini.
No comments:
Post a Comment