Wasalam sana ,hapa tutazungumzia kwa ufupi jinsi gani tangawizi inavyoweza kukuongezea mabadiliko na mafanikio katika nguvu zako za kiume na pia kurudisha heshima katika ndoa yako ,pia nimeandaa maelezo amabayo jinsi ya kutumia kiungo hiki ila cha muhimu kabla hatuja kuelekeza ni jinsi gani ya kututmia ,nitoe jambo ambalo nila kuzingatia kabla ya kutumia kiungo hiki ni ,lazima uwe unafanya mazoezi ya viungo kila uamkapo ,nikimaanisha hakikisha unakimbia japo umbali wa mita200 mara 2 kila siku hii ni kwa sababu kamwe usipofanya mazoezi hutoweza kuupa mwili au kuuweka mwili wako katika kuondoa maradhi uliyonayo na kuupokea dawa kwa ajili ya kwenda kufanya kazi katika mwili .Bila kupoteza wakati fungua hiyo video hapo chini ili ujue ni jinsi gani ya kutumia tangawizi.
No comments:
Post a Comment