Pages

Sunday, January 7, 2018

WASANII WETU TANZANIA NA MIZIKI YETU

                 Wasalamu sana ,leo ni ujumbe ambao umekuwa ni kilio kikubwa kwa watanzania nikimaanisha wazee vijana na hata waototo, hata kama sawa ni usawa wa utandawazi ila kila kitu ambacho unakifanya katika maisha haya jua kabisa kuna watu kumi kenda wanakufata kila nyayo na kwa kila mwongozo wowote ule wa wewe msanii ,kwanini nimeandika mada hii dhumuni langu kuu ni kuuambia wanamziki kujaribu kuimba nyimbo ambazo zinamantiki na maudhuhi ambayo hata miaka ijayo takumbukwa kwa mashairi yake mazuri na ambayo inaweza kuwa ni fundisho katika jamii au ni mwongozo katika jamii ila sijaegemea upande wowote ule ,nikimaanisha sio kwa wasafi ,weusi wabaya ,wazuri au wowote wale ila nachopenda kusema ni kwamba nyimbo za kizazi hiki zije kukumbukwa na hata kueshimika kwa miaka 20 au 30 ijayo ila sio kwa nyimbo kama  hizi ,fungua video hapo chini ili japo muelewe namaanisha nn.......
                               

No comments:

Post a Comment