Wanawake ni binadamu ambao niwametoka katika ubavu wetu wa kushoto kama maandiko yalivyoandika kwa imani yetu sisi wakristu ila sitakii tuingie sanaa kwenye mambo ya imani ila dhumuni langu kusema hivi ni kwa ,wanawake ni viumbe ni vigumu sana kuwatambua ufahamu wake kirahisi rahisi kuliko sisi wanaume na kwanini nasema hivi ni kulingana na mada yetu ya leo ,wanawake ni viumbe ambao huwa wanapenda kufanyiwa vitu vizuri pasipo wao kukuambia wewe mwanaume sasa najua unakiu na mwamko mkubwa wa kutaka kujua ni vitu gani hivyo mwanamke anapenda kufannyiwa FUNGUA video hapo chini.
No comments:
Post a Comment