Inanishangaza sana kwa wasanii wetu wa kizazi hiki kwa kuwa nyimbo nyingi zimekuwa na mahudhui ambayo hayapo katika tamaduni zetu na kinachonishangaza zaidi ni kwamba hatua zikichukuliwa wanaanza kuona kama wanaonewa ila sina mengi ya kusema labda ujionee mwenyewe ni nini ambacho nakiongelea kwa kufungua video hapo chini
No comments:
Post a Comment