Pages

Thursday, May 24, 2018

DAWA YA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI


HABARI ,hapa nimekuandalia mada ambayo itakusaidia ama kuwasaidia wanawake wengi katika kutatua tatizo lako la kutokufika kileleni kwa kufuatilia video hii hapo chini na mwanzo mwisho na kujua nn cha kufanya ili uweze kutatua na hatimaye uweze kulifaidi zaidi tendo la ndoa.

Sunday, May 20, 2018

DAWA YA KUONDOA HARUFU MBAYA MAKWAPANI NK


Karinu tena katika vipindi vyangu mbali mbali vya afya na hapa nitazungumzia jinsi ya utengenezaji wa dawa ya kutoa kiarufu kikali na jasho la kupitiliza ,fungua video hapo chini ujifunze mwenyewe.

SABABU ZA MWANAMKE KUTOKUFIKA KILELENI



Habari mpendwa wangu mfuatiliaji wa mada mbali mbali za channel ya Bongo Event tv ,na leo nimekuandalia mada ambayo itakusaidia kujua visababishi ambayo vitakufanya na pia hata kukupelekea kutokukufikisha kileleni, Fungua hiyo video hapo ili ikupe muongozo mzuri.

Tuesday, May 1, 2018

MANENO YA ZITTO KABWE KUHUSU KUTOPANDISHWA MISHAHARA TANZANIA


Maneno haya ambayo Mh Zitto Kabwe yamekuja na kuleta taswira mpya baada  ya aliyekuwa raisi wa awamu ya tano Dkt John Magfuli baada ya kutoa kauli ambayo iliyokuwa inahusu kuongeza kwa mishahara kwa wafanyakazi wa serikali na kuleta taswira mpya kiujumla,fungua video hapo chin

MANENO MAZITO YALIYOMFANYA MAGUFULI ACHUKUWE HATUA HIZI


Haya ndio maneno makuu ambayo na mazito ambayo yamemfanya Raisi wetu wa awamu ya tano Dkt John pombe Magufuli kufanya jambo hili ambalo limewashangaza na kuwastaajabisha mamia ya watu katika siku hii, Je watakakujua ni jambo gani hilo lililofanyika FUNGUA hiyo video hapo chini.

Monday, April 23, 2018

DAWA YA KUONDOA MADOA MEUSI KWA HARAKA ZAIDI


Habari nzuri hii nakuletea mfuatiliaji wangu mzuri wa mada mbalimbali zinazohusiana na afya zetu na hii nimekuletea mada yenye video ambayo itakuwezesha kujua na kujifinza jinsi ya kutengeneza dawa mbadala kwa ajili ya kuondoa madoti doti meusi ambayo yamekuwa ni kilio kikubwa kwa madada zetu na hata pia kwa makakakwa ujumla sasa fungua video hapo chini ili ujifunze njia hii rahisi na mbadala.

Friday, February 16, 2018

DAWA YA KUNGARISHA USO [ACHANA NA CARORITE]


Hiki kilikuwa ni kilio cha watu wengi kwa kuwa watu walikuwa wanatafuta njia ya kuweka uso wao sawa na mwoshowe kudumbukia katika dimbwi la carorite na macream mengineyo mengi ambayo yamewaharibia ngozi za watu wengi sana sasa fungua hapo chini ukajifunze njia mbadala itakayo kusaidia katika kuweka sawa uso wako kabisa.  

DAIMOND KAFUNGUKA KHUSU KUACHWA KWAKE NA ZARI


Finaly kwa ukimya mwingi wa daimond platinum finaly kafunguka lililoko rohoni baada ya kuachwa na zari the boss lady,fungua hapo chini ujionee daimond alichofunguka.

HUWEZI KUAMINI KILICHO TOKEA


Katika maisha yetu ya kila siku huwa ni vigumu kuamini jambo la kuambiwa ila mpaka ushuhudie mwenyewe na katika video hiyo hapo chinoi utaona vitu ama maajabu ambayo yanafanywa na wanadamu na sio rahisi kufanywa na mtu mwingine.

MAGUFULI AMEMUAPISHA DKT SLAA KUWA BALOZI WA SWEDEN


Hivi leo raisi wa awamu ya tano Dkt john magufuli amemuapisha Dkt slaa kuwa balozi wa sweden.fungua hapo chini ujionee jinsi alivyokuwa anakula kiapo na kuapishwa.

TUSI LA DAIMOND KWA RAYVAN KUHUSU MAPENZI YAKE NA ZARI


Baada ya skendo hii inayotredi mtandaoni ambayo inawahusu wapenzi wawili ambao ni mastaa wakubwa ambao ni daimond na zari kuachana na kuacha watu wengi kutaamaki na kujiuliza tatizo ni nn ,ila sio kila mtu amependezwa na jambo hili na hata kupelekea rayvan kutaka kurudisha wapenzi hawa kurudiana na kuwa pamoja ila hili ndilo jibu kali alilolitoa daimond kwa rayvan ,fungua tu hapo chini na utaujua kilichotokea ni nn?                        

KAMPENI ZA CCM ZIKIMALIZIKA HAPA KINONDONI


Leo ndio siku ya mwisho ya kufanya kampeni ambapo kwa chama cha mapinduzi CCM yamemalizika rasmi katika maeneo ya kinondoni biafra kwa mgombea kujinadi katika chama chake ambaye ni bwana Mtulila.
                                            

Wednesday, February 14, 2018

ZARI ACHANA NA DAIMOND PLATINUM RASMI


HII ni baada ya uvumi mwili na skendo myingi katika midea ambazo zimekuwa kila siku zikimzungumzia daimond platinum na mambo mbali mbali ambayo anakuwa anashutumiwa na hata mengineyo ambayo anayo anayanya yamempelekea zari the boss lady kutoa matamshi haya mazito. 

HUYU NDIYE ALIYEMPA MSAADA LISSU BAADA TU YA KUPIGWA RISASI TOKA SERIKALINI


Siri yafichuka ambayo imeshangaza watu wengi juu ya aliyetoa msada wa kwanza pindi tu mbunge wa wetu Tundu Lissu na kuokoa maisha yake kabla hajafikishwa hospitalini kwa ajili ya matibabu zaidi sasa fungua hapo chini kumjua nani huyo toka katika serikali yetu hii ambaye amempa msaada.

Tuesday, February 13, 2018

DAWA YA KUONDOA NYWELE ,MAPERE NA WEUSI KATIKA SEHEMU ZA SIRI

Fungua ujionee na kujifunza ni jinsi gani ya kutengeneza dawa hii ili uweze kupata nafuu kwa tatizo .
                                                                     

MWAKA HUU NAPATA MTOTO ;; DIVA THE BOSS

Fungua ujionee na kusikia alichokiongea diva the boss kuhusu swala la kheri la kupata mtoto.           
                                                                     

NIMEKUBALI KULEA MTOTO WA MOBETO '' DAIMOND PLUTINUM''


Baada ya kupanda kizimbani kwa mara mbili ,mwishowe kumewafanya mabadiliko na kuwafanya wawili hao kukaa chini na kuwa kitu kimoja na kuamua kuchukua uwamuzi ambao umawafanya kufika tamati katika kesi yao ambayo ilikuwa ikirindima mahakani ,fungua hapo chini ujionee na kusikia maneno ya daimond plutinu m kukubali uwamuzi na kufanya jambo la busara zaidi fungua         

DAWA YA KUKUZA NA KUKAZA MATITI KWA WANAWAKE


Hapa tumekuandalia dawa ambayo itawasaidia akina mama na hata akina dada walio wengi kutokana na kilo kikubwa ambacho ni kuwa matiti kushuka na mwishowe kuwafanya akina mama na akina dada walio wengi kuanza tabia ya kubusti matiti yao kutokana na kupoteza maumbile yao ya awali ya matiti ,lakini siku zote linalokuwa na mwanzo halikosi kuwa na mwisho sasa fungua video hapo chini na ufuatilie kwa makini na itakusaidia kuokoa na hata kurudisha maumbile yako mazuri ya matiti.       

ADHABU KALI ALIYOPEWA JUMA NYOSSO NA TFF


Fungua na ujionee adhabu ambayo amepewa JUMA NYOSSO kutokana na adhabu ambayo alipewa na shirika la mpira wa miguu TFF pamoja na mengineyo mengi ambayo utayajua baada ya kufungua video  hapo juu

Saturday, February 10, 2018

HIVI NDILO TIMBWILI LA NYANI KAMA HUJAWAHI KULIONA


Fungua ujionee jinsi nyani na maisha yao huko msituni na vitu ama matendo ambayo hufanya huko.

DAWA YA ASILI YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME


Fungua video hii ujionee ni jinsi gani dawa hiyo inavyofanya kazi ,faida zake na hata pia matumizi ili kuondoa kwa kiasi kikubwa tatizo hili la nguvu la kiume.    

HAPA NDIPO WANAWAKE WANAPOPATA UKIMWI

Fungua video hii ujionee jinsi gani wanawake wanapokumba sana na tatizo hili ama janga hili la ukimwi. 

Monday, January 29, 2018

FAIDA ZA BAMIA KATIKA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME

FUNGUA hiyo video ili ujionee faida ambazo zinzpatikana katika matumizi ya bamia kwa wanaume kwa kuongeaza nguvu za kiume na hata kwa wanawake wazee pamoja na watoto.

JAJI KISANGA AKIAGWA KATIKA KANISA LA KKKT

JIONEE JINSI JAJI KISANGA ALIVYOAGWA KWA HESHIMA ZOTE KATIKA KANISA LA KKKT

DIVA AKIRI KUWA ANATUMIKA KIMAPENZI

FUNGUA ujione jinsi diva the boss alivyokubali kuwa anatumika kimapenzi kuwanufaisha na kuwafanya kuwa mastaa na baadaye kumwacha solemba,

AJAJI YA MELI KUWAI TOKEA

FUNGUA ujionee ajali mbaya kuwahi tokea majini na hata kusababisha vifo vya watu wengi baharini

POVU LA DKT SLAA BAADA YA KUTOKA IKULU

FUNGUA ujionee jinsi dkt slaa alivyofanya mazungumzo na raisi magufuli huko ikulu leo

WEMA AMUITA MPENZI WAKE ON STAGE ''DAIMOPND PLATINUM

jionee jinsi wema sepetu alivyomuita on stage mpenzi wake wa zamani daimond na kumkumbatia kama wapenzi wa kawaida ''' amakweli nimekula asali udogoni lakini utamu mpaka gegoni fungua ujionee mwenyewe

Thursday, January 25, 2018

HATUNA TUNACHOJUTIA ''' MKURUGENZI WA TBA'''


FUNGU KATIKA VIDEO HAPO CHINI ILI KUSIKIA MANENO YA MKURUGENZI WA TBA KUHUSU SWALA HILI..                                      .

MWANAMKE ALIYEKUFA GESTI HUKO MOROGORO


Fungua ujue kisa na mkasa kilichomtokea dada huyu huko morogoro na nani anahusika na tukiohilo,Fungua hapo chini kwa habari zaidi. 

MAZISHI YA MAMA YETU WA KIROHO '''MAMA YAKE GWAJIMA''


Kila mwanadamu katika dunia hii safari yetu ya mwisho ni kwemda huko juu mbinguni na leo hii tumekumbwa na pigo kubwa la kumuaga kwa safari yake ya kwenda mbinguni mama yetu wa kiroho ''MAMA YAKE GWAJIMA ''   Fungua hapo chini.

PENZI LA UJAMBAZI


Katika maisha ya kila mwanadamu hapa duniani kila mtu anahistoria ya vitu vilivyomtokea msibu amakumtokea pindi anapoishi katika dunia hii ni story ya mwanadada aliyeishi katika mapenzi na jambazi pasipo kujua fungua hiyo video hapo upate fununu nzima.

Wednesday, January 24, 2018

NYIMBO MPYA NGUZA VIKI NA SEYA

kwa takribani miaka mingi ambayo hatuwa nao wagwiji hawa wa muziki huu wa wazee wa watuazima Nguza viki naseya sasa wako mbioni kwa kuachia ngoma yao mpya ,fungua hapo kujua kwa undani zaidi juu ya kibao hicho kikali.

VYAKULA VINAVYOSABABISHA VIDONDA VYA TUMBO

Fungua video hapo chini ili kujua ni vyakula gani hapo chini vilivyoelezewa ili kuviepuka kwakuwa unaweza kukuta unatumia dawa kila wakati na kila aina tofauti yya dawa na bila maendeleo yoyote ile sas fungua iliupate maelekezo zaidi.         

Tuesday, January 23, 2018

DAWA YA WADUDU MASHAMBANI

ANGALIA na jifunze njia mpya au dawa mpya ambayo itakusaidia katika kulinda mazao yako mashambani.

HAIJAWAHI KUTOKEA MAAJABU AYA MTOTOT HUYU

Angalia video hii hapo chini ujionee ni jinsi gani binadamu katika dunia hii tunavyoumba na maajabu tangia utotoni.

VYANDARUA NA NGUVU ZA KIUME

Angalia video hii kuondoa imani potofu kuw aeti vyandarua vinamaliza nguvu za kiume.
          

MH MWAKYEMBE AKISIFIA SIMBA MBELE YA UMMA KWA USHINDI MNONO


 Jionee jinsi mwakyembe mbele ya umma alivyopongeza timu ya simba sports club kwa ushindi mnono kwa bao 4-0 dhidi ya singida,na kuwataka kotubweteka katika  michuano yao.                                                                                                                        

VYAKULA VINAVYOPUNGUZA NGUVU ZA KIUME

Angalia full video upate elimu itakayo kuwezesha kupata elimu ni juu ya vyakula gani na ni kwa nn hususani ni vyakula hivi ndo viwe kisababushi kikuu cha kukupunguzia nguvu za kiume.

Sunday, January 14, 2018

WANAUME KUFANYA MAPENZI ASUIBUHI

Angalia full video na utambue sababu za kitaalamu ni kwa nini wanaume tunapendelea hususani kwa wakati wa asubuhi kufanya tendo la ndoa.

ZOEZI LA KUONGEZA NGUVU ZA KIUMME

Angalia full video jinsi ya kujifunga ni jinsi gani utaweza kuongeza nguvu zako za kiume.
                                      

Thursday, January 11, 2018

TATIZO SUGU LA KUTOA HARUFU MBAYA UKENI

Tambua sababu na tatua zaidi tatizo lako sugu la kutokwa harufu mbaya ukeni kwa kufungua kufungua hiyo video hapo chini                                    

TUNACHOKIPENDA KUTOKA KWA WANAWAKE

Wanaume tunapenda wanawake na sio bora wanawake hususani zaidi kwa usawa huu tulio nao mgumu na kutokana na hivyo nikaamua kuwaandalia video hii ili tupeane uhalisisa wa nn wanaume tunahitaji mostly, fungua video hapo chini
 

Tuesday, January 9, 2018

MWONGEZE NYEGE MWANAMKE KWA HARAKA


 HABARI ,hii hapa leo ni mada ya mapenzi ambayo ni mahususani zaidi kwa wanandoa na wapendanao aambayo itawafanya mlidumishe kwa maradufu tendo la ndoa ,nisiwamalizie uhondo bali fungueni wenyewe mjifunze ni vitu gani vya kumfanya mwanamke apagawe na tendo la ndoa.                                             

WANAWAKE WANATAKA HIVI VITU KUTOKA KWA WANAUME

         Wanawake ni binadamu ambao niwametoka katika ubavu wetu wa kushoto kama maandiko yalivyoandika kwa imani yetu sisi wakristu ila sitakii tuingie sanaa kwenye mambo ya imani ila dhumuni langu kusema hivi ni kwa ,wanawake ni viumbe ni vigumu sana kuwatambua ufahamu wake kirahisi rahisi kuliko sisi wanaume na kwanini nasema hivi ni kulingana na mada yetu ya leo ,wanawake ni viumbe ambao huwa wanapenda kufanyiwa vitu vizuri pasipo wao kukuambia wewe mwanaume sasa najua unakiu na mwamko mkubwa wa kutaka kujua ni vitu gani hivyo mwanamke anapenda  kufannyiwa  FUNGUA video hapo chini.                                                                                                                                        

Monday, January 8, 2018

KILIO KWA WASANII WETU

  Inanishangaza sana kwa wasanii wetu wa kizazi hiki kwa kuwa nyimbo nyingi zimekuwa na mahudhui ambayo hayapo katika tamaduni zetu na kinachonishangaza zaidi ni kwamba hatua zikichukuliwa wanaanza kuona kama wanaonewa ila sina mengi ya kusema labda ujionee mwenyewe ni nini ambacho nakiongelea kwa kufungua video hapo chini                                                                                                                                                                         

Sunday, January 7, 2018

WASANII WETU TANZANIA NA MIZIKI YETU

                 Wasalamu sana ,leo ni ujumbe ambao umekuwa ni kilio kikubwa kwa watanzania nikimaanisha wazee vijana na hata waototo, hata kama sawa ni usawa wa utandawazi ila kila kitu ambacho unakifanya katika maisha haya jua kabisa kuna watu kumi kenda wanakufata kila nyayo na kwa kila mwongozo wowote ule wa wewe msanii ,kwanini nimeandika mada hii dhumuni langu kuu ni kuuambia wanamziki kujaribu kuimba nyimbo ambazo zinamantiki na maudhuhi ambayo hata miaka ijayo takumbukwa kwa mashairi yake mazuri na ambayo inaweza kuwa ni fundisho katika jamii au ni mwongozo katika jamii ila sijaegemea upande wowote ule ,nikimaanisha sio kwa wasafi ,weusi wabaya ,wazuri au wowote wale ila nachopenda kusema ni kwamba nyimbo za kizazi hiki zije kukumbukwa na hata kueshimika kwa miaka 20 au 30 ijayo ila sio kwa nyimbo kama  hizi ,fungua video hapo chini ili japo muelewe namaanisha nn.......
                               

ONGEZA UUME NA NGUVU KWA KUTUMIA NDIZI MBIVU

       Habari, kwa kawaida kila chakula kina faida na umuhimu mkubwa katika mwili wa binadamu na hata vingine vikitumiwa kwa mara nyingi zaidi katika mzunguko wa binadamu kwa siku nzima unaweza ukamplelekea kupata mabadiliko ambayo yanaweza kumletea manufaa makubwa ,na leo chakula chetu au naweza kukitaja kama ni kiungio vile vile ni ndizi ,Ndizi ina nishati au madini mengi ambayo ni muhimu katika mwili wa binadamu katika ukuaji na uzalishaji wa nguvu na mjongeo katika ,mwili wa binadamu ,bila kupoteza wakati jifunze zaidi kupitia video ambayo nimeiwekja hapo chini ili ujue ni nishati gani zina hitajika na kwa manifaa gani katika ukuaji wa nguvu na hata maumbile yako ya kiume
                       

ONGEZA NGUVU ZA KIUME KWA TANGAWIZI

               Wasalam sana ,hapa tutazungumzia kwa ufupi jinsi gani tangawizi inavyoweza kukuongezea mabadiliko na mafanikio katika nguvu zako za kiume na pia kurudisha heshima katika ndoa yako ,pia nimeandaa maelezo amabayo jinsi ya kutumia kiungo hiki ila cha muhimu kabla hatuja kuelekeza ni jinsi gani ya kututmia ,nitoe jambo ambalo nila kuzingatia kabla ya kutumia kiungo hiki ni ,lazima uwe unafanya mazoezi ya viungo kila uamkapo ,nikimaanisha hakikisha unakimbia japo umbali wa mita200 mara 2 kila siku hii ni kwa sababu kamwe usipofanya mazoezi hutoweza kuupa mwili au kuuweka mwili wako katika kuondoa maradhi uliyonayo na kuupokea dawa kwa ajili ya kwenda kufanya kazi katika mwili .Bila kupoteza wakati fungua hiyo video hapo chini ili ujue ni jinsi gani ya kutumia tangawizi.
           

Friday, January 5, 2018

WARITHI WA WCB

   kwa kawaida katika maisha yetu ya kila siku kuna misemo mingi ya wahenga ila kwa msemo huu bila shaka umetimia katika macho kwa kuuona ukitimia ''MTOTO WA NYOKA NI NYOKA''na hii imejirihirisha dhahiri baada ya watoto wa zari kuperfom vilivyo kwa kuuimba wa daimond platinum bila hata kuukosea hata nukta moja  na kutuacha midomo wazi na kuutupa matumaini na mwangaza kuwa  WCB  inaweza kuendelea milele kwa wasanii chipukizi kuuendeleza mziki wetu juu zaidi ,bila shaka nisikumalizie uhondo jionee kwa kubonyeza video hapo chini.
                                                                                                                                                                              

Monday, January 1, 2018

VIONJO VYA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME WAKATI WA MAPENZI

       habari,hapa nimewaandalia video fupi ambayo itakufundishwa na kukuelezea ni vionjo gani ambavyo ukivitumia vinaweza kukusaidia kupata nguvu za kiume na hamasa ya kutosha wakati wa kufanya mapenzi na mwenzi wako.fungua video hapo chini
                                       

ELIMU YA UTOKAJI WA MIMBA


            Hapa tunazungumzia mambo ambayo yamekuwa yakiwasumbua wanawake wengi na katika jamii nyingi ila kwakupitia video hii itakupa maelekezo ya kutosha na pia hata pia kukuelimisha ni jinsi gani ya kukabiliana na hata kutokomeza tatizo hili la utokaji wa mimba <abortion>